Ushirikiano: Siri ya Asili

Series ▾ Hekaya inasema kwamba siku moja, Kijana alikuwa analalamika kwa Bibi yake: “Kwa nini tumefanywa sisi watu tuwe dhaifu? Simba ana meno, tembo ana mwili mkubwa, na twiga ana shingo ndefu. Lakini sisi, tuna nini?” Bibi akamwambia kijana: “Nenda…

