Avatar photo

Mahakama ya Haki

Mkono wa Dhahabu

Series ▾ Katika milima ya Uruguru, palitokea kijiji kimoja kilichostawi kwa amani. Lakini siku moja, amani hiyo ilivurugika kwa mauaji ya kustaajabisha. Hali iliyopelekea siku ya leo ndani ya ukuta wa mawe wa Ikulu ya Mtemi, mtuhumiwa alikuwa anajiandaa kumwambia…